S Sir Chazz Member Joined Sep 1, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Sep 28, 2013 #1 kulingana na tanzania daima la leo, waliopata mikopo ni 94% kati ya walioomba. waliokosa ni wale ambao hawakurekebisha form zao ni kama elfu 3. mchanganuo utakamilika wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi. akihojiwa mkurugenzi wa bodi jana
kulingana na tanzania daima la leo, waliopata mikopo ni 94% kati ya walioomba. waliokosa ni wale ambao hawakurekebisha form zao ni kama elfu 3. mchanganuo utakamilika wiki ya kwanza ya mwezi wa kumi. akihojiwa mkurugenzi wa bodi jana
Glisten JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 301 Reaction score 22 Sep 28, 2013 #2 Let's Hope.!
N nyota poa Senior Member Joined Aug 25, 2013 Posts 152 Reaction score 7 Sep 28, 2013 #3 Vip kuhusu kwa watu wa diploma,au sisi ndo bado,maana kuna jamaa mmoja amesema kwa saizi nikwa vi 2,
B Barhearty JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 319 Reaction score 29 Sep 28, 2013 #4 kama ni kwel. Lakin kuna watu wamerekebsha juzi juzi tu wamepata na wengine katika list ya waliokosea hawakuwepo ila wamekosa
kama ni kwel. Lakin kuna watu wamerekebsha juzi juzi tu wamepata na wengine katika list ya waliokosea hawakuwepo ila wamekosa
B Barhearty JF-Expert Member Joined Jun 18, 2013 Posts 319 Reaction score 29 Sep 28, 2013 #5 nyota poa said: Vip kuhusu kwa watu wa diploma,au sisi ndo bado,maana kuna jamaa mmoja amesema kwa saizi nikwa vi 2, Click to expand... mbona wengine wamepata
nyota poa said: Vip kuhusu kwa watu wa diploma,au sisi ndo bado,maana kuna jamaa mmoja amesema kwa saizi nikwa vi 2, Click to expand... mbona wengine wamepata