Mikopo Bila Riba: Mwenye kuijua Social Credit & Loans Co-operative atujuze jamani

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Wanajamvi nimekutana na Tangazo la Social Credit & Loan Cooperative kwamba wanatoa mikopo kwa masharti nafuu na wanasema haina riba. Naomba anayejua kuhusu hii atujuze ili tuweze kuchangamkia fursa.
 
Hiv kwel kuna mkopo usio na riba???????????, hii mimi kwangu ngumu kumesa, nahisi harufu ya kautapeli fulani.
ngoja waje waliowahi kufaidika watakusadia
 
CONTACT PLEASE! EMAIL OR WEBSITE ID tafadhali?!
 
Hiv kwel kuna mkopo usio na riba???????????, hii mimi kwangu ngumu kumesa, nahisi harufu ya kautapeli fulani.
ngoja waje waliowahi kufaidika watakusadia

kwa wenzetu waislamu mikopo ya aina hii ipo sana, nenda NBC, KCB n.k wana masharti yao ambayo kwa ujumla wake mi huwa nashindwa kujua kinachoendelea hapo. Sasa kwa hii Taasisi sijui wanafanyaje biashara hiyo???
 
Wewe hao ni miendelezo ya matapeli rejea .community loans, Akiba loans... Ni hao hao wanabadili utaratibu tu ni majizi usijaribu utaliwa
 
Back
Top Bottom