..............
Basically, kuna maswali mawili:
1. Kuzingatia ongezeko la wanafunzi wengi wahitaji wa elimu ya juu, ni mambo gani yafanyike ili suala la mikopo liwe endelevu na lenye ufanisi katika uchangiaji wa elimu ya juu?
2. Una mapendekezo gani yoyote ya ziada yatakayosaidia kuboresha mfumo wa kugharimia elimu ya juu na utoaji wa mikopo?
Mkuu aksante sana nadhani kuna zaidi ya maswali mawili wakitaka kupata mawazo endelevu
Kwanz kwa kutumia taaluma yangu ICT(
System development) Mpaka wanaleta hii request ina maana kuna
problem
Na problem inatakiwa kuwa
identified ili kubaisnisha true probmle form effect of the poblem.
Kwa kuwa binafsi sijafanya analysis na sina detail na data za kutosha nitachambua kijuu juu but inaweza kuwapa mwanga wale wenye data au kupata data kufikia maamuzi sahihi ya kutatua tatizo halisi
Wote tunakubalina kuwa finacial resources zilizopo haziwezi kutosheleza maombi yote na kukidhi kila mtu.
Kwa hiyo siyo sahihi kuhusanisha tatizo hili na kuongezeka idadi ya wanafunzi . Tunataka wanafunzi wawe wengi hilo sio tatizo .
tatizo au issue iliyopo ni ni vipi pesa iliyo buddget igawanywe kwa wanafunzi hawa wengi. SO tatizo ni ufinyu wa bajeti na kuigawa hiyo bajeti kwa wanfuzi
Ni kusema kama bajeti ya kukopesha wanafuzni ni shilingi 1000 na wanafuzi waliokidhi vigezo wakomba elfu moja basi kila mwnafunzi apewe shilingi moja. hii sio endelevu
Ni kuweka
vigezo vya kimkoa au kiwilaya walipo wazazi au walezi wa wanafunzi. Au shule wanayotoka wanafunzi. Mfano mwanafuzi aliyemaliza mtwara , Kigoma, Kasulu sekondary. tamazidi mwanafunzi aliyemaliza Tambaza, Mwanza Sekondary, Arusha Sekondary na shule za mjini
Mfano huu natoa najua hata serikali mfanyakazi anaposafiri kwenda baadhi y mikoa anapewa perdiem ndogo wakati akained amikoa mingine anapewa perdiem kubwa.
Ni ifanyike classifcation ya shule za A walizotoka wanafuzi. Mwanafunzi alitoka mzizima Sekondary huyo anaweza kuwa ni Class D. Aaliyemaliza tambaza anaweza kuwa Class C. Aliyemaliza mwanerumango huyo anaweza kuwa Class A kwenye Mkopo.
Kwa kuwa wanafuzi wametengwa katika makundi kwa ile bajeti ya shilingi 1000 bodi itaamua kwa kuwa kuna wanfuzi 1000 basi wale wa Class A watapewa mkompo wa shilingi 2. na wale wa Class D watapewa mkopo wa shilingi 1.
So kufanya hiyo kitu iwe endelevu inawezekana zikipatikna data na wakipatikana analyst wa kuzichambua na kuzifanyia kazi.
Kuna mambo mengi yakujua kabla ya kutaka ushauri wenye akili kama hizi option nimeweka hapa ni chache.
- Kujua bajeti ya Bodi kwa mwaka na kwa may be miaka mitano ijayo
- Kujua idadi ya wanafuzi kwa mwaka na trend ya kuongezeka kwao
- Kujau kiasi cha mikopo inayolipwa na wale waliomaliza
- Kujau idadi ya vyuo vinavyokubalika na bodi , vilipo, kiwango cha maisha mikoa vilipo vyuo hivyo ?
Simply kwangu naona vinatakiwa vitengenzwe vigezo au wanafuzi watengwe kwenye makundi. Zikipatina data zote wachambuzi ndo wanwezza kushauri ni makundi mngapi au vigezo gani vitumike.