mikopo form 6

mikopo form 6

DOR_CAS

Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
6
Reaction score
0
samahanini wapendwa je form 6 wameshaanza kuomba mikopo,,,au kunahabari gani kuhusu hili naomba kufahamishwa,,,
 
4m6 wa mwaka gani? coz waliohitimu f6 kuanzia 1988-2013 wanaruhusiwa kuomba mkopo na walianza 14/05/2013 wish ni 30/06/2013,
 
4m6 wa mwaka gani? coz waliohitimu f6 kuanzia 1988-2013 wanaruhusiwa kuomba mkopo na walianza 14/05/2013 wish ni 30/06/2013,

Hata f6 2013 wameshaanza?au mpaka wapate matokeo ndo waombe?Nifafanulie please.
 
Ishu ya mkopo kama matokeo bado, huwez kuomba. Subr matokeo. Usiogope wataongeza ded line. Ila kama hujamalza 6 mwaka huu, unaruhusiwa kuanza kuomba.
 
Mjumbe acha kumpotosha mwenzako, jamaa walipotangaza watu waanze kuomba walisema watu wote wanaotarajia kuomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2013/14 waanze kuomba,na haijalishi umemaliza f6 lini. Deadline kwa waombaji wote ni tareh 30/06/2013. Baada ya hapo,ambae atakuwa either hajaomba au hajaupdate itakula kwake. Kazi kwenu ambao bado mnasoma.
 
Back
Top Bottom