Unatoa kama nani? Wewe ni bank, financial institution, Finca, easy finance, credits organization au una kampuni ya kutoa mikopo iliyosajiliwa na kutambulika? Haiwezakani ukawa unatoa mikopo wewe kama wewe mpaka bil 2 labda ziwe ni hela haramu unataka kuzisafisha. Benki wenyewe kukupa mil 100 ni shida hata kama unasecurity achilia hiyo bil 2.
Inawezekana umeandika tu kwa kujifurahisha na kutaka kuwapotezea watu muda, lakini someone serious in business angetoa detailz zaidi ili watu waelewe, kwanza ulivyoandika unaonekana hauna hata hiyo taaluma ya masuala ya mikopo!