hata mm ndio hvyo hvyo hata sielew yaan
au wametutema? nam n miongon mwao
Inakuaje kwa sisi tuliosubmit wakati tunaomba,au tupeleke tena"barua za chuo"ipo hivi kwa maelezo niliyopewa mimi pale bodi juz. inatakiwa upeleke admission letter au barua toka chuo unachosoma na mwisho ni tar 1 mwez 11 wa kusubmit hzo barua
taarifa ni kwamba wale continuing applicants majina yenu yatakuja vyuoni moja kwa moja e.g kwa wale wa ifm batch ya continuing itakua tayari chuoni by jumanne. Hiyo ni according to loan officers wenyewe
subirini ndugu zangu wanadai kuna majina wanasubiri toka TCU then wafanye mjumuisho from there update na majina yote yatatoka.
AFRICA is love
taarifa ni kwamba wale continuing applicants majina yenu yatakuja vyuoni moja kwa moja e.g kwa wale wa ifm batch ya continuing itakua tayari chuoni by jumanne. Hiyo ni according to loan officers wenyewe
Samahan naomba nchanganye mada, kwa mfano mi, first year pale Tia ila nkiingia ktk website ya bodi naambiwa not secures reason for not secured ni budget exhausted. Hii inamana ndyo mwaka huu ntokee yan cpat tena au niaje apo?, msaada kwa mwenye uelewa tafadhal