Huu ni ubinafsi au ufisadi?
- Watoto wa vigogo kama marais, mawaziri, majaji, wabunge nk kupata mikopo halafu washindwe kuirudisha kwa wakati!
- Watoto hawa wa vigogo kupewa mikopo wakati watoto wa mafukara wanakosa!
- Vigogo wenyewe kuchukuwa mikopo na kushindwa kulipa kwa wakati!
Tafakari!