Taasisi nyingi za fedha zikiwepe benki hazitoi "grace period" hasa kwa wakopaji wadogo kwa shughuli za ujenzi wa nyumba za biashara mfano kupangisha kwa ajili ya malazi. Kiwanja ninacho (unsurveyed) nimeshindwa kukamilisha ujenzi ili niweke wapangaji. Nitapata wapi msaada ? Benki zingetusaidia wananchi wa namna hii kwa kutupatia mikopo yenye "grace period" (kipindi cha miezi au miaka kadhaa kabla ya urejeshaji mkopo