Mikopo kwa vyuo vya nchi za nje e.g uganda

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
habari ndugu zangu,
Hivi bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa vyuo vya nje kama Uganda (e.g. Makerere), Kenya, Zambia nk.
Tafadhari mwenye taarifa naomba anisaidie, ni kwa masters na PhD.

Ahsante
 
Umefikia kiwango cha kusoma mastaz na phd hujalijua hilo....
Kweli hii ndo......
WELCOME IN TANZANIA!
 
nijuavyo mimi kwa sasa hivi bodi wanatoa mikopo kwa watu wa undergraduate, masters na phd. Unajisupport mwenyewe unless serikali ikakusomeshe kutokana na huitaji flani inayotaka ndio unaweza kukopeshwa.
 
Umefikia kiwango cha kusoma mastaz na phd hujalijua hilo....
Kweli hii ndo......
WELCOME IN TANZANIA!

mkuu mimi ndo nipo mwaka wa pili, nimesaka taarifa kwenye web yao nikakosa. phd bado ila nilitaka kujua ili nipate taarifa zaidi. thanks
 
nijuavyo mimi kwa sasa hivi bodi wanatoa mikopo kwa watu wa undergraduate, masters na phd. Unajisupport mwenyewe unless serikali ikakusomeshe kutokana na huitaji flani inayotaka ndio unaweza kukopeshwa.

kwenye bold hapo sijaelewa, mbona sentensi zinapingana? thanks
 
na bacheror je kwa vyuo kama Makerere unaweza kupata mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…