Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali imeendelea kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini. Katika kipindi cha julai 2023 hadi machi 2024 jumla ya shilingi bilioni 187 zilikopeshwa kwa wachimbaji ukilinganishwa na shilingi bilioni 145 zilikopeshwa mwaka 2022 sawa na ongezeko la shilingi bilioni 42.