Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
kwani shida iko wapi hapo.chamkia fursa kijanaTunaelekea uchaguzi itatoka mikopo mpk ya wanywaji bia, baada ya uchaguzi wanapigwa pini
Unayo kadi ya chama?bank gani inakopesha aisee.maana hapa naangaika na mtaji.nina vifaa vya ujimbaji ,karasha,compressa ,nk .help me please
Unapatikana wapi ndugu?bank gani inakopesha aisee.maana hapa naangaika na mtaji.nina vifaa vya ujimbaji ,karasha,compressa ,nk .help me please