ipo mkuu karibuHuna mikopo kwa wawekezaji?
unaweza pata wasiliana namiMikopo kwa ajili ya kufunga ndoa mnatoa?
Tuongelee hapa kwa faida ya wote. RIBA ni kiasi gani? Na unarejesha vipiipo mkuu karibu
0686153809 whatsapp
Twende naye taratibu. Ngoja atupatie masharti yake tuoneHakuna mkopo kwa wafanyabiashara wakubwa hapo. Hiyo ni kausha damu iliyorembwa na kupambwa ili kuwavutia watu wenye tamaa, kuingia mkenge.
Hakuna mkopo wa uhakika wa kupiga kwenye simu. Wanaofanya hivi ni kausha damu na zile taasisi za kifedha zenye riba kubwa mfano Platinum credit, Bayport, Fanikiwa, Maboto, nk.Twende naye taratibu. Ngoja atupatie masharti yake tuone
Naona anakausha tu. Huyo nadhani hata hajui tofauti ya mikopo. Mkopo wa uwekezaji huwa hauzidi 3% riba yake. Unaanza kulipa si chini ya miaka 5. Nilimtegea ajibu ili nimchambe kisawasawaHakuna mkopo wa uhakika wa kupiga kwenye simu. Wanaofanya hivi ni kausha damu na zile taasisi za kifedha zenye riba kubwa mfano Platinum credit, Bayport, Fanikiwa, Maboto, nk.
Zaidi ya hapo, ni UTAPELI.
Inatokaña na kiasi unachokopaTuongelee hapa kwa faida ya wote. RIBA ni kiasi gani? Na unarejesha vipi
Yés mkuu ni microfinanceHii ni microfinance or ni mtu binafsi? Ni on reducing balance or ?
Mikopo ya uwekezaji, huwa haizidi riba ya asilimia tatu (3%)! Hiyo riba inazidi ya Benki kwa mikopo ya Biashara kama CRDB ambayo ni asilimia 16! RIBA zenu ni wizi wa mchana kweupeInatokaña na kiasi unachokopa
Kuna RIBA za asilimia 20 Kwa mwaka Kwa mikopo inayoanzia milioni 5 Hadi million 100
Kuanzia milioni 100 hàdi bilioni Moja RIBA ni asilimia 30
Yés mkuu ni microfinance
Mikopo kwa ajili ya kufunga ndoa mnatoa?
Vipi,unataka tukachukue?
Nitafurahi sana!Vipi,unataka tukachukue?