CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Wapendwa anayejua policy ya mikopo toka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa wanafunzi wa medicine/dds etc ..... Anisaidie. Sina uhakika kama bado wanapewa upendeleo (100% loan/free???) kama ilivyokuwa zamani

Unaongela zamani ipi.. enzi za Nyerere elimu ilikua bure vidudu mpaka chuo kikuu, Yani waliokutuma hata hiyo policy hawaijui?
MUHAS:School fees,books and stationary allowance na special faculty requirements ni grant(ruzuku) kutoka wizara ya elimu.Boom ni mkopo kama ilivyo kwa course nyingine.
Asante sana rafiki. What about watoto waliosoma kwenye shule za kulipia? maana walisema kuwa kama mtoto kasoma kwenye shule za kulipia mpaka form six basi mzazi anajiweza hapati mkopo. Is this true for MUHAS students.
sio kweli mkuu wote mnapewa ruzuku, hata kama ni mtoto wa JK usihofu ni 100% uhakika.
aisee hamna cha policy wala nini policy zenyewe hazifuatwi