Mikopo kwa wanaokwenda ualim diploma wanaapply vp??

Mikopo kwa wanaokwenda ualim diploma wanaapply vp??

John sky

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Jaman me nashindwa kuelewa,serkal ilisema kuwa wale wenye princpal mbili afu wajaenda ualimu ngaz ya diplopa au wa wa o-level wa masom ya sayans wakienda kusoma ualimu ngaz ya diploma watapewa mikopo na ruzuku! sas wanaaply vip hyo mikopo na ruzuku?
 
Back
Top Bottom