J John sky Member Joined Jun 2, 2014 Posts 34 Reaction score 1 Jun 2, 2014 #1 Jaman me nashindwa kuelewa,serkal ilisema kuwa wale wenye princpal mbili afu wajaenda ualimu ngaz ya diplopa au wa wa o-level wa masom ya sayans wakienda kusoma ualimu ngaz ya diploma watapewa mikopo na ruzuku! sas wanaaply vip hyo mikopo na ruzuku?
Jaman me nashindwa kuelewa,serkal ilisema kuwa wale wenye princpal mbili afu wajaenda ualimu ngaz ya diplopa au wa wa o-level wa masom ya sayans wakienda kusoma ualimu ngaz ya diploma watapewa mikopo na ruzuku! sas wanaaply vip hyo mikopo na ruzuku?