Mkuu inatokana na malengo YakoMikopo ni utumwa...
1. Haujengi nyumba
2. Mkopo hauwezi kukufanya kuwa tajiri
Unaweza kuwa umeshakopa huko na Bado unataka pesawatumishi siku hizi wanamaliza ktk mfumo wa ess, ni haraka na chap.
.
MIKOPO Kwa watumishi wa umma ni MIKOPO mahususi Kwa wale wote ambao hufanywa kazi serikalini.
Baada ya kuiona changamoto ya wafanyakazi wengi kuwa na uhitaji mkubwa wa hela hasa katika kujenga vyanzo vingine vya mapato tumeamua kutoa mikopo Kwa watumishi wa umma
VIAMBATA MUHIMU ILI KUWEZA KUPATA MKOPO
- Kiwango cha kukopa Kwa watumishi wa umma ni kuanzia million Moja Hadi million ishirini
- Mdhamana wetu mkuu ni salary slip na barua kutoka Kwa mwajiri wako
- Muda wa kuchukua mkopo ni kuanzia miezi mitatu Hadi miaka 5
- Riba ni asilimia 3.5 kila mwezi unapofanya marejesho
VIAMBATA hivi vipi katika makundi mawili Kwa wafanyabiashara na watumishi wa umma
1. Kwa wafanyabiashara
1.1 kitambulisho cha leseni ya udereva
1.2 kitambulisho cha Taifa NIDA
1.3 Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
1.4 Taarifa za kibenki za miezi 6 (bank statement) au miamala ya simu
1.5 TIN NUMBER
1.6 Leseni ya biashara
1.7 three coloured passport size
1.8 kitambulisho cha mtu wako wa karibu
1.9 wadhamini wawili
2. Kwa watumishi wa umma
2.1 kitambulisho cha leseni ya udereva
2.2 kitambulisho cha Taifa NIDA
2.3 Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
2.4 Taarifa za kibenki za miezi 6 (bank statement) au miamala ya simu
2.5 TIN NUMBER
2.6 Leseni ya biashara
2.7 three coloured passport size
2.8 kitambulisho cha mtu wako wa karibu
2.9 wadhamini wawil
No haifiki mkuu kuna calculator special
- Riba ni asilimia 3.5 kila mwezi unapofanya marejesho
3.5 x 12 = 42
Ukikopa 1m baada ya mwaka utalipa 1,420,000
Lete hio Calculator kabla hatujaomba huo mkopo, nione Milioni Moja baada ya mwaka nalipa kiasi ganiNo haifiki mkuu kuna calculator special
Unatumbukia tu ess hakuna kiambatisho chochote kinachohitajika ....Kwa wafanyakazi siku hizi mambo yote yako kwenye mfumo. Hayo mambo ya barua kutoka kwa mwajiri, ilikuwa ni enzi zileee!!!
naona aliposoma reply yako kakimbia sijui kama atarudi!?le
Lete hio Calculator kabla hatujaomba huo mkopo, nione Milioni Moja baada ya mwaka nalipa kiasi gani
hawa matapeli ukishawajulia raha sananaona aliposoma reply yako kakimbia sijui kama atarudi!?
Mkuu sio kweli unanikoseahawa matapeli ukishawajulia raha sana
Leta basi hio Calculator tuoneMkuu sio kweli unanikosea
😹😹😹mkuu una bonda hadi kakimbiaLeta basi hio Calculator tuone
Mwambie shetani hapa hapati kitu. Janja ya nyani mimi kwisha jua.