Mbona useme riba yako kwa mwenzi shilling ngapi?Habari
Naomba nianze kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na mada niliyoleta hapo juu.
Ulimwengu wa biashara hujawaji kuwa mwepesi mara nyingi huwa na mapito ya kupanda na kushika hususani hasara inapokuwa kubwa kwenye mzunguko wa biashara yako na hivyo kujikuta ukilazimika kuongezapesa nyingine kwenye biashara yako.
Suala la kukopa pesa huwa haliepukiki kwani pesa huhitajika Kwa sababu mbalimbali kama vile kukuza mtaji, kuongeza ofisi nyingine ya biashara, kufidia gap likilotokana na hasara, kuwalipa wafanyakazi wako, kuongeza vitendea kazi katika biashara yako na sababu zingine nyingi
Baada ya kuiona Hilo kuwa ni changamoto Kwa wafanyabiashara WENGI basi tukaona kuwa ni vyema tuandae mikopo maalum Kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo ambayo haitawafunga Kwa kutaka waiyumie Kwa kile ambacho wametaja kuwa sababu ya kuchukua mkopo huo.
Pindi utakapofanya maamuzi ya kuchukua mkopo kuna mambo mbalimbali unayopaswa uyatambue jambo la kwanza
Kiwango Cha kukopa kinaanzia shilingi MILIONI moja Hadi shilingi Milioni 40
Mdhamana wetu mkuu huwa ni kadi ya gari Kwa wafanyabiashara na Kwa watumishi wa umma wanaofanya biashara huwa ni payslip ingawa kiwango Chao Cha kukopa huishia MILIONI 20.
Muda wa mkopo ni kuanzia miezi mitatu Hadi miezi 24 marejesho hufanywa kila mwezi
Inatokana na kiasi ambacho umechukua lakini pia na muda ambao umechukua mkopo huo mfano ukichukua mkopo Kwa miezi SITA marejesho yatakuwa madogo ukilinganisha na aliyechukua Kwa miezi 24Mbona useme riba yako kwa mwenzi shilling ngapi?
Wa bongo hamko stight kwenye biashara kwa nini? Sema riba yako sio duration ya mkopo loh.Inatokana na kiasi ambacho umechukua lakini pia na muda ambao umechukua mkopo huo mfano ukichukua mkopo Kwa miezi SITA marejesho yatakuwa madogo ukilinganisha na aliyechukua Kwa miezi 24
3.5 kila mweziWa bongo hamko stight kwenye biashara kwa nini? Sema riba yako sio duration ya mkopo loh.
Manaake ukinipa 1m kila mwenzi na lipa riba ya 35,000 on reduced principle au sajakuelewa vizuri, jitahidi uwe mkweli mkuu?3.5 kila mwezi
Ili kutimiza uswahili atakwambia nifate Pm.Manaake ukinipa 1m kila mwenzi na lipa riba ya 35,000 on reduced principle au sajakuelewa vizuri, jitahidi uwe mkweli mkuu?
Mwogope dalali wa mikopo anayekupa interest rate Kwa mwezi, anachoficha hapo ni rate ya 42% Kwa mwaka. 42/12months= 3.5%. hivyo uhalisia mikopo yao ni 42% Kwa mwaka. Anakupa 3.5% Ili uone riba ni ndogo wakati sivyo ilivyo. Ukienda commercial banks riba sasa hivi zinachezea 18% - 24% Kwa mwaka.3.5 kila mwezi
Hawa jamaa nao wanachukua mkopo bank ili kuja kukukooesha wewe,so lazima riba yao ipae sanaMwogope dalali wa mikopo anayekupa interest rate Kwa mwezi, anachoficha hapo ni rate ya 42% Kwa mwaka. 42/12months= 3.5%. hivyo uhalisia mikopo yao ni 42% Kwa mwaka. Anakupa 3.5% Ili uone riba ni ndogo wakati sivyo ilivyo. Ukienda commercial banks riba sasa hivi zinachezea 18% - 24% Kwa mwaka.
Unachopaswa kuelewa Kwa riba ya hawa jamaa ya 42% utakuwa umelipa mara 2 ya riba ya bank. Niwewe mkopaji kuamua.
Njoo pmJamani nawapataje nataka kuongeza mtaji wa kuku nimechoka na laki 3 kila wiki 3, broilers
Mkuu tuna usajili Toka BOTHawa jamaa nao wanachukua mkopo bank ili kuja kukukooesha wewe,so lazima riba yao ipae sana
Embu weka pichaMkuu tuna usajili Toka BOT
Inategemea mkuu milioni tano au sita CRDB wanaringa Sana, lakini mbona bank za nje wanariba ndogo Sana ukilinganisha na bank zetu huku?Si Bora nikope CRDB