Mikopo midogo kwa wanawake wajasiriamali Tanzania

Mikopo midogo kwa wanawake wajasiriamali Tanzania

batchu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
263
Reaction score
35
Habar za leo ndg zng.
Natoa mikopo midogo kwa wanawake wajasiriamali Tanzania kuanzia lak2 mpk 3 kwa mkopo wa awali ila kw kikundi cha wanawake wasiopungua kumi.kwa kila kikundi natoa 3ml kwa riba ya 15% kwa miez 6.
Walengwa ni wakazi wa kinondoni,mwananyamala,kigogo,mbagala,gongolamboto,temeke na tandika.
Hakuna dhamana yakuwek mali rehani.
Masharti ni kama ifuatavyo;
Uwe na biashara tayari,
Uwe kwny kimundi cha watu wasiopungua kumi mjuane vema na muwe majirani,
Mpate mahal pakukutania kwa center.
Uwe na kitambulisho halali.
Umri kuanzia miak18_45,
Uwe na wadhamini wawili wa uhakika mfano mume,kaka,dada,mama au baba.
Kama mpangaji uwe na mkataba wa nyumba na ugongwe mhuri na mjumbe,
Uwe mwaminifu na mwnye nidhamu.
Kwa aliyetayar na mwny uhitaji wa huduma hyo basi awasiliane na wahusika kupitia 0719203333.
 
Riba ni 30%kwa mwaka, ongeza mkopo angalau laki5- 1m kwa mtu, hiyo unayotoa wanaipata kirahisi kwenye vikoba kwa riba ya 10% kwa miezi6
 
Back
Top Bottom