Mkopo bank sio shida , huo mkopo bank itamalizana na mwajiri wake kama NI mkopo wa mshahara,
Kuhusu stahiki zingine nadhani unauliza kuhusu mafao au pensions , hiyo atapewa kama ametimiza miaka 15 au zaidi akiwa kazini kwa Sheria za Utumish wa Umma ,
Mengine watakuja kuongezea