tena watakuletea na mrembo mzuuuri wa kukushawishi ila wakati wa marejesho anakuja njemba kubwa sura kauzu kama mbwiga wa mbwiguke kibwaya mkia wa nyanikwa kweliπππ
Je waijua *BANK OF AFRICA (BOA)*
Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1.
Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000.
Yaani kwa mwaka mmoja utarejesha riba na mkopo jumla milioni moja laki moja na elfu saba *(1107000)*
Makato kwa kila mwezi mmoja kwa kipindi cha miezi 12 yatakuwa ni 92,250.
Kwa miaka miwili makato yatakuwa
58,583.
N.k
Hii ni tofauti na Benki nyingine zinazotoa asilimia 18 au 17
Mfano kwa milioni moja katika Benki inayotoa riba ya 17 utakatwa 97,000 kwa mwezi.
WANAPATIKANA WAPI HAWA JAMAA?
Umesahau ada ya kuandaa mkopo (facility processing fees)Je waijua *BANK OF AFRICA (BOA)*
Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1.
Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000.
Mkuu naomba kuelewa hapo mbona hesabu zako haziko sawa ? mfano 92,250 x12 = 1,107,000 iko sawa sasa hii ya 58,583 x 24 = 1,405,992 mbona tofauti sana au RIBA ZINATOFAUTIANA ? ?Je waijua *BANK OF AFRICA (BOA)*
Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1.
Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000.
Yaani kwa mwaka mmoja utarejesha riba na mkopo jumla milioni moja laki moja na elfu saba *(1107000)*
Makato kwa kila mwezi mmoja kwa kipindi cha miezi 12 yatakuwa ni 92,250.
Kwa miaka miwili makato yatakuwa
58,583.
N.k
Hii ni tofauti na Benki nyingine zinazotoa asilimia 18 au 17
Mfano kwa milioni moja katika Benki inayotoa riba ya 17 utakatwa 97,000 kwa mwezi.
WANAPATIKANA WAPI HAWA JAMAA?
TRU STORYπππ
mi sio.mtu wao but simple sana,mtu anayelipa deni kwa miezi 12 si sawa na anayelipa deni kwa miaka miwili,wa mwaka mmoja atakua na nafuu zaidiMkuu naomba kuelewa hapo mbona hesabu zako haziko sawa ? mfano 92,250 x12 = 1,107,000 iko sawa sasa hii ya 58,583 x 24 = 1,405,992 mbona tofauti sana au RIBA ZINATOFAUTIANA ? ?
Hii bank nitaitafuta safiiJe waijua *BANK OF AFRICA (BOA)*
Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1.
Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000.
Yaani kwa mwaka mmoja utarejesha riba na mkopo jumla milioni moja laki moja na elfu saba *(1107000)*
Makato kwa kila mwezi mmoja kwa kipindi cha miezi 12 yatakuwa ni 92,250.
Kwa miaka miwili makato yatakuwa
58,583.
N.k
Hii ni tofauti na Benki nyingine zinazotoa asilimia 18 au 17
Mfano kwa milioni moja katika Benki inayotoa riba ya 17 utakatwa 97,000 kwa mwezi.
WANAPATIKANA WAPI HAWA JAMAA?
NDIO HIVYO MKUUmateso bila chuki hiyo
Bora uwasiliano nao wakuelimishe la sivyo utakuwa unadanganya watu/wateja kwa kutumia jina lao, hiyo ya miezi 12 riba iko sawa 17%-19% ,,, ila hiyo ya miaka 2 itakuwa 29% huoni ni kitu hakiwezikani hapomi sio.mtu wao but simple sana,mtu anayelipa deni kwa miezi 12 si sawa na anayelipa deni kwa miaka miwili,wa mwaka mmoja atakua na nafuu zaidi