Mikopo nafuu kutoka Bank of Africa (BOA)

Makao Makuu ni pale POSTA opposite na MAHAKAMA YA RUFAA
 
Mkuu naomba kuelewa hapo mbona hesabu zako haziko sawa ? mfano 92,250 x12 = 1,107,000 iko sawa sasa hii ya 58,583 x 24 = 1,405,992 mbona tofauti sana au RIBA ZINATOFAUTIANA ? ?
Hapo kimeangaliwa muda wa kulipa mkopo
 
Naona wakopaji wamepungua sana kwenye benki zote, juzi kati nmb wamekuja ofisini kubembeleza watu wakope na rejesho miaka 7 au miezi 84 na wananunua madeni ya mikopo mingine. Tutakomaje
Watu wameanza kuelewa mikopo na adha zake. Hawadanganyiki kirahisi rahisi.
 
Mnaongelea mambo ya riba je vigezo vya kupata mkopo ni vipi? Kuna muda mtu unapata hitaji la kifedha na unakuwa tayari kuchukua mkopo wa riba yoyote lakini masharti yanakuwa magumu. Benki zote zinataka mshahara upite kwao na uwe umedumu kwa zaidi ya miezi sita na kuwe na mkataba baina ya benki na mwajiri wako sasa waajiri wa sasa hivi wengi wagumu kwenye hilo.
Benki gani haina masharti magumu na hao BOA vigezo vyao ni vipi?

Opera Min Joseverest etc
 
Wewe ndio umeleta hizi taarifa halafu umeisifia Bank kabisa inakuaje uulize wanapopatikana?
 
Kwani mikopo ni kwa wafanyakazi Tu? Kuna mikopo ya kibiashara pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…