Mikopo Nafuu kwa Wajasiliamali na Wafanya Biashara

MIKOPO-LOAN

Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7
Reaction score
2
JE WEWE NI MJASILIAMALI AU MFANYABIASHARA?

Sasa unaweza kupata mikopo kwa riba nafuu kama una biashara iliyosajiliwa yenye Leseni na TIN number.
Mikopo inatolewa Kuanzia 1,500,000 mpaka milion 50,000,000. Na riba yake ni 1.75% kwa mwezi au 21% kwa mwaka.
Mikopo inachukua siku 7 mpaka 14 kukamilika.Marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miaka 3.

Utafungua account kwetu kwa kiasi cha Tshs 30,000. Tshs 20,000 itawekwa kwenye account yako na 10,000 ni gharama za kuandaa account na ATM Card. Kutoa na kuweka fedha kwenye account yako ni bure.Afisa atakuja kutembelea biashara yako/zako kufanya tathimini na kupiga picha.
kama unaitaji wasiliana nami kwa 0715712111 au mikopoloans@gmail.com kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 10 jion kwa siku za Jumatatu mpaka Ijumaa.Unaweza kutuma sms nitakupigia.

karibuni
 
Ohoooo wale wale,ATM imekujaje hapa wewee utawaibia hao hao Mimi never hakuna raia mwenye ATM Kama ni benki wewe c mkurugenz.ushindwe na ulegeee mwezi huu mtukufu ....nyoooooo mwizi mkubwa wewe
 

huku kuna mabwege utawapata tu, mkuu. wewe komaa nao hivyo hivyo
 
Wewe kama mtu binafsi au Benki?

Kama mtu binafsi, ATM inaingiaje hapa? Na kama ni benki basi ni Benki gani hiyo?

Shakir,
Ni benki ila jina la benki sita taja,we are taking advantage of social media.Otherwise tutalazimika kulipia gharama za matangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…