Mikopo ni shida

Mikopo ni shida

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Jaman Wakuu mimi ningependa kufahamishwa ni taasisi zipi za binafsi zinazotoa mikopo ya kielimu kwa elimu ya juu chuo kikuu ukiachana na Tasisi ya selikali ya (HELBS) Na utaratbu wao wa marejesho unakuwa vpi? Na je napo nilazma uoneshe ktu chenye thaman sawa na mkopo unaotaka kuchukua ili ukishindwa kurejesha kwa mda mwafaka wanakitaifisha? Nisaidien ndg maana kutegemea central loans board facoult nayotaka kusoma imepewa none preority hivyo na was was wa kukosa mkopo!

Samahan kwa wale mliouona huu uzi jukwaa fulan (...) wadau bado natafta maon kwa wajuzi wengi maana naamin humu wajuzi mpo!!
 
Back
Top Bottom