Kuna rafiki yangu ni mwalimu,alikopa mil 1 na nusu, mbali na kwamba alikuwa anakatwa laki na ishirini kila mwezi, baada ya mwaka mmoja amelipa million 4 na nusu,mbali na hela alizokuwa anakatwa,ili kumaliza mkopo wote sababu aliona wanakata na deni halipungui.ila kama unakopa ulipe baada ya mwezi mmoja zote huenda riba yao ikawa ndogo ,ila kwa mkopo wa muda mrefu...kuwa na tahadhari mapema