Mikopo tumekopa sawa,ni kipi cha maana kimefanywa na hiyo mikopo?

Mikopo tumekopa sawa,ni kipi cha maana kimefanywa na hiyo mikopo?

Mikopo ni tatizo kubwa mno linalotutafuna wengi na hakuna cha maana kilichofanyika.
 
Si zinaibwa hujui ??
Mikopo ikija huku inaingia kwenye miradi na matumizi mengine alaf watendaji wa serikali na mashirika wanaiba kwa namna nyingi tu.

So workdone ya mikopo is equal to zero (Kama unajua vizuri hesabu Lakini)
 
Mpaka sasa najiuliza hivi ile mil. 25 niliyokopa benki nimeifanyia nini cha maana? jibu sina aise😅
 
Nyie si ma bwege na hamna cha kuwafanya?... Ni hivi, mikopo tumekula(ref zawadi ya gari kwa babra) na cha maana hakuna. Na lakufanya huna. Na kulipa mtalipa nyie. unauliza kwa kujificha Ficha si ujitokeze uulize vizuri tukufundishe heshma. Jinga kabisa
 
Mikopo tumekopa sawa,ni kipi cha maana kimefanywa na hiyo mikopo?

Hilo ni swali, nahitaji majibu
JamiiForums260260468.jpg
 
Nyie si ma bwege na hamna cha kuwafanya?... Ni hivi, mikopo tumekula(ref zawadi ya gari kwa babra) na cha maana hakuna. Na lakufanya huna. Na kulipa mtalipa nyie. unauliza kwa kujificha Ficha si ujitokeze uulize vizuri tukufundishe heshma. Jinga kabisa
Kwamba nitoke niulize halafu unifundishe heshima,heshima ipi?
 
Nchi ina hali mbaya. Hiyo mikopo ni ya kuendeshea tu nchi.
Hali mbaya kwa sababu zipi? fedha za tozo zinakwenda wapi? na kodi wananchi wanalipa kama kawaida? Kifupi Nyie wananchi ni wapumbavu na hamna la kuwafanya zaidi ya kukificha huku. pumbaaavu kabisa
 
Hali mbaya kwa sababu zipi? fedha za tozo zinakwenda wapi? na kodi wananchi wanalipa kama kawaida? Kifupi Nyie wananchi ni wapumbavu na hamna la kuwafanya zaidi ya kukificha huku. pumbaaavu kabisa
Tozo za madafu ndiyo zitaendesha nchi?
 
Hata kuwe kikubwa vipi, pesa madafu haiwezi kuendesha nchi. Ni sawa utegemee upate mtoto kwa punyeto.
Nyie ndio mlienda shule kusomea ujinga. Currency yako unaiita Madafu? hujui hata hizo unazoziabudu zinapatikana kutoka kwenye pesa yako. na hata hiyo Yao inalipwa kutokana na pesa yako. LEVEL UP Shetani
 
Back
Top Bottom