Mikopo Ualimu

mrembowangu

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
25
Reaction score
8
Hiv kwa mtu anayeanza ajira ya ualimu kwa level ya degree anauwezo wa kuchukua mkopo benk baada ya mda gani na kiwango cha mwisho anachotakiwa kupewa mkopo ni sh ngap?Ukilinganisha na mshahara anaopata kwa level ya degree?
 
benk hawaangalii muda mkuu. wanachoangalia ni barua ya ajira {on parmanent terms} ambayo inakuwa naTSD Number yako. kingine ni salary slip ya miezi mitatu ya karibuni. kuhusu ni kiwango gani wanaweza kukupa kuna percent wazo wanazidisha kwa take home yako. ila simply kwa degree unawezachukua hata zaidi kidogo ya 7ml
 

Asante mkuu kwa ufafanuzi wako, je waweza chukua mkopo benki labda mbil kwa wakat mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…