Mikopo ya bajaji na kirikuu

Mikopo ya bajaji na kirikuu

Luge son

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
24
Reaction score
18
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo nina uzoefu nazo katika kuzifanya.
 
Kitu kigumu hasa kwa graduate ni kupata mtaji, pambana tu Hakuna mkopo kwa graduate wa kitanzania.
 
acha mawazo feki gutuka toka usingizin kumekucha kapambane mtaani duniani haukuna vitu kama ivyo
 
Back
Top Bottom