napenda kwashirikisha wanajamii hili suala la mikopo kwenye mabenki yetu hapa Tanzania.siku hizi ukienda kuomba mkopo benki utapewa masharti kama tulivyozoea,ila kinachonikera ni tabia hii ya kuomba rushwa kwa hawa loan officcer ili uweze kupata hela unazotaka.Mtu una hati ya nyumba,mdhamini na biashara unayo,ukiomba mkopo wa 5milioni utaambia utoe shilindi laki tatu ili waprocess hiyo loan uliyoomba.Jamani kwa staili hii kweli tutapata maendeleo Tanzania?..mabenki kama NMB,na Access Bank ndio wamezidi kwa huo mchezo.
Kisale, inategemea hiyo laki 3 ya kuprocess mkopo unampa nani. Ninavyofahamu mimi takriban bank zote mwombaji wa mkopo anatakiwa kutoa loan processing fee normally huwa ni 0.1 - 1.5% inategemeana na aina ya mkopo. Mara nyingi pesa hii hutoi ila inakatwa mojakwa moja katika pesa/mkopo ulio omba. Tatizo hapa ni kama loan officers wanakuomba hiyo pesa nje ya utaratibu wa bank.
heri yako uliombwa, wengine wanaambiwa hela itawekwa kwenye account. Ukienda kuchungulia unakuta panga limepita badala ya milioni tano utakuta milioni nne na ushee. Ukifuatilia zinakuja hadith kibao.ada sijui ya huduma, nk. Fee ya nini wakati mkopo huo utalipwa pamoja na riba? Wizi mtupu !!!!!!!!!!!napenda kwashirikisha wanajamii hili suala la mikopo kwenye mabenki yetu hapa tanzania.siku hizi ukienda kuomba mkopo benki utapewa masharti kama tulivyozoea,ila kinachonikera ni tabia hii ya kuomba rushwa kwa hawa loan officcer ili uweze kupata hela unazotaka.mtu una hati ya nyumba,mdhamini na biashara unayo,ukiomba mkopo wa 5milioni utaambia utoe shilindi laki tatu ili waprocess hiyo loan uliyoomba.jamani kwa staili hii kweli tutapata maendeleo tanzania?..mabenki kama nmb,na access bank ndio wamezidi kwa huo mchezo.
napenda kwashirikisha wanajamii hili suala la mikopo kwenye mabenki yetu hapa Tanzania.siku hizi ukienda kuomba mkopo benki utapewa masharti kama tulivyozoea,ila kinachonikera ni tabia hii ya kuomba rushwa kwa hawa loan officcer ili uweze kupata hela unazotaka.Mtu una hati ya nyumba,mdhamini na biashara unayo,ukiomba mkopo wa 5milioni utaambia utoe shilindi laki tatu ili waprocess hiyo loan uliyoomba.Jamani kwa staili hii kweli tutapata maendeleo Tanzania?..mabenki kama NMB,na Access Bank ndio wamezidi kwa huo mchezo.
heri yako uliombwa, wengine wanaambiwa hela itawekwa kwenye account. Ukienda kuchungulia unakuta panga limepita badala ya milioni tano utakuta milioni nne na ushee. Ukifuatilia zinakuja hadith kibao.ada sijui ya huduma, nk. Fee ya nini wakati mkopo huo utalipwa pamoja na riba? Wizi mtupu !!!!!!!!!!!
Lakini watanzania wengi tunayatengeneza haya mazingira ya rushwa pale tunapohitaji njia za mkato badala ya kufuata taratibu zilizowekwa kwa hiyi tunawashawishi watendaji kutaka rushwa. Tuepuke hizi kauli za kuwaambia watendaji "FANYA MAARIFA".
Hapa naomba nieleze kidogo,mimi nilikopa crdb,lakini mimi ni mfanyakazi serikalini,ckuombwa hela yoyote zaidi ya 50,000 kwa ajili ya form ya mkopo na nilikopa 4Million, Sasa inapokuja kwenye watu wasio na kazi serikalini inakuwa ni kazi ,maana kwa upande wetu wao ndo walikuja kutuomba tukope na hivyo tukakopa pasipo usumbufu na matatizo yoyote.
Wanachokisema ni kweli kwani kwa watu wengine rushwa wanaombwa kweli. Tunaiomba serikali itusaidie ktk hili,maana mtu akikopa lile ni deni,iweje leo tena wamuombe rushwa wakati kaishatoa na kutimiza masharti ya mkopo? Huu ni wizi ambao hauwezi kuvumiliwa kabisa!!