Mikopo ya benki

Mikopo ya benki

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
83
Reaction score
13
Ni lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.
 
Ni lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.
Mkuu kwani sasahivi hakuna mikopo kwa wafanyakazi kwenye banki zote au ni banki ipi wamekwambia hivyo? Tokea lini imeanza hali?
 
Jana nilikuwa Barlclays Iringa wameniambia hivo hebu jaribu na ww kufatilia
 
Mkuu hawa Barlclays wamechoka kinoma ata hawajielewi na huduma zao ndio maana mwaka jana walifunga matawi zaidi ya kumi,na hii inasababishwa na kuwa na Mkurugenzi mbovu!
 
Wadau kama mnaulizia salary loans jibu ni kwamba mabenki mengi wameacha kwa sasa baada ya kupigwa changa la macho na waajiriwa watoro.
Kwa hapa Dar so far najua benki kama mbili ambazo wao wanatoa bado. Azania Bank na Mkombozi Commercial Bank. Vigezo vyao hawa ni makubaliano na mwajiri after identifying a considerable number of people who want to get loans which makes it easier in interest negotiation. Mkombozi wanatoa mpaka 18% kama kuna large number.
Disadvantage utakayoipata kwa sasa ni kwamba hawa jamaa matawi yao si mengi sana. At least Azania Bank inakua kwa sasa ukilinganisha na Mkombozi.
Details nyingine ni kufatilia tu kwa kweli.
Nawasilisha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.
Wewe unaonekana ni kati ya wale watumishi wabishi msiotaka kujiunga kwenye saccos zenu na kutegemea mabenki ambayo karibia yote ni ya kibepari.Mabenki hayategemei biashara ya kukopesha watumishi tuu,pale ambapo wanaona haina maslahi kwao hujitoa

SACCOS = SAVING AND CREDIT CO OPERATIVE SOCIETY .Hizi zimeundwa mahususi kwa ajili ya kuweka na kukopesha wanachama wake na hakuna siku saccos zitaacha kukopesha labda saccos husika ifilisike.

Ninakushauri ujiunge na saccos inayotambulika ili ujiunge na maskini wenzako na kwa umoja huo ndio tutaweza kujikwamua na umaskini.Tusitegemee mabenk wale wapo kibiashara zaidi
 
Ni lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.

Zipo benki zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi kwenye scheme.

Yaani mnakuwa wafanyakazi zaidi yua mmoja mnakopa makato yanawakilishwa na muajiri kwa ajili ya kupunguza risk ya kusema mwezi huu sijui ada ya watoto nimelipa.

Ila kuna changamoto sana kwneye kukopesha wafanyakazi ndio maana inakuwa ngumu.
 
Ni vizuri ungezitaja hizo benki, ili iwe rahisi kwa watafuta mikopo kufuatilia taarifa zaidi
 
Back
Top Bottom