RORYAKWETU
Member
- Nov 18, 2011
- 83
- 13
Mkuu kwani sasahivi hakuna mikopo kwa wafanyakazi kwenye banki zote au ni banki ipi wamekwambia hivyo? Tokea lini imeanza hali?Ni lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.
Wewe unaonekana ni kati ya wale watumishi wabishi msiotaka kujiunga kwenye saccos zenu na kutegemea mabenki ambayo karibia yote ni ya kibepari.Mabenki hayategemei biashara ya kukopesha watumishi tuu,pale ambapo wanaona haina maslahi kwao hujitoaNi lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.
Ni lini serikali itaanza kurusu mabenki kuanza kutoa mikopo kwa wafanyakazi kwani inaonekana kwa sasa zimepigwa koma.
Ni vizuri ungezitaja hizo benki, ili iwe rahisi kwa watafuta mikopo kufuatilia taarifa zaidiZipo benki zinazotoa mikopo kwa wafanyakazi kwenye scheme.
Yaani mnakuwa wafanyakazi zaidi yua mmoja mnakopa makato yanawakilishwa na muajiri kwa ajili ya kupunguza risk ya kusema mwezi huu sijui ada ya watoto nimelipa.
Ila kuna changamoto sana kwneye kukopesha wafanyakazi ndio maana inakuwa ngumu.