Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo!
Wana bodi, Kuna kampuni moja ktoka Kenya inatoa mikopo bure kupitia simu bila muomba mkopo kutoa vielelezo kama kampuni nyingine za mikopo...Siwapigii debe ila nawapa taathari moja kuwa kama wanafikiri wabongo ni kama wakenya watafilisika soon.
Kwanza hawa jamaa wanaamini taarifa za kwenye facebook wakati huku TZ facebook account wamiliki wengi ni fake ivyo kukimbia na mikopo ni issue ndogo.
Wanatoa mikopo ndani ya dk 10 iwapo jina lako ulilosajiri kwa simu(mpesa au tigo pesa) ni sawa na za kwenye account zako za facebook
Hawa jamaa wanatoa mikopo kupitia app yao IITWAYO Tala
My take.
1:Wabongo wenye mitaji inayohitaji mikopo isiyo na mlolongo wa kwenda kwa watendaji wa kata nk jichukulie kuanzia 20k-300k faster.
2:Kampuni hii ya Tala inaweza kuwa mkombozi kwa wajasirimali wadogo wanaoteswa vituko vya hawa jamaa wa benki,black,finca nk.
3:Tafadhali siwapigii debe na wala sina maslahi nao.
Asante