Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo!

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Mikopo ya bure kutoka ''Tala' Hongera lakini kuwa makini na wabongo!

Wana bodi, Kuna kampuni moja ktoka Kenya inatoa mikopo bure kupitia simu bila muomba mkopo kutoa vielelezo kama kampuni nyingine za mikopo...Siwapigii debe ila nawapa taathari moja kuwa kama wanafikiri wabongo ni kama wakenya watafilisika soon.

Kwanza hawa jamaa wanaamini taarifa za kwenye facebook wakati huku TZ facebook account wamiliki wengi ni fake ivyo kukimbia na mikopo ni issue ndogo.

Wanatoa mikopo ndani ya dk 10 iwapo jina lako ulilosajiri kwa simu(mpesa au tigo pesa) ni sawa na za kwenye account zako za facebook

Hawa jamaa wanatoa mikopo kupitia app yao IITWAYO Tala

My take.
1:Wabongo wenye mitaji inayohitaji mikopo isiyo na mlolongo wa kwenda kwa watendaji wa kata nk jichukulie kuanzia 20k-300k faster.
2:Kampuni hii ya Tala inaweza kuwa mkombozi kwa wajasirimali wadogo wanaoteswa vituko vya hawa jamaa wa benki,black,finca nk.
3:Tafadhali siwapigii debe na wala sina maslahi nao.
Asante
 
Hakuna hela ya ubwete ubwete hata nukta!
 
hamna pesa za bure ukizingatia we si mteja wao katika lolote kwahiyo ni swala la kuwa makini na mikopo hiyo
 
Kwanza mbona wanakopeshwa wa mtandao wa tigo tu?
 
hamna pesa za bure ukizingatia we si mteja wao katika lolote kwahiyo ni swala la kuwa makini na mikopo hiyo

Nilipokea malipo ya elfu 20 thats why nikaandika humu
 
Aiseee nmekula pesa yao 10ksh
Wananisumbua sana Kila saa kupga
Cm
 
Aiseee nmekula pesa yao 10ksh
Wananisumbua sana Kila saa kupga
Cm

Ndiyo maana nasema hawa jamaa HAWAWAJUI wabongo..Watafilisika tu.

Yahani mbongu umpatie mkopo kama huu wa bwerere tena ndani ya dk 10 bila kuonana naye au kumpiga picha? wataisoma namba dadeki.
 
Ndiyo maana nasema hawa jamaa HAWAWAJUI wabongo..Watafilisika tu.

Yahani mbongu umpatie mkopo kama huu wa bwerere tena ndani ya dk 10 bila kuonana naye au kumpiga picha? wataisoma namba dadeki.
Haa haa haa aiseee habar wanaipata hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…