Mikopo ya chuo!

Mikopo ya chuo!

Second hand

Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
72
Reaction score
6
Habari zenu wanajamvi! Kwa mwenye ujuzi naomba anijuze mchanganuo wa fedha ya mkopo kwa mwanafunzi wa chuo. Je, inahusisha na fedha ya kujikimu? NATANGULIZA SHUKRANI!
 
We nenda chuo kasome usiweke pesa mbele,ukishamaliza first year hayo yote utakua umeyajua.
 
Mikopo kutoka loan board inajumuisha fedha ya kujikimu(meal and accommodation), ada, practical training na research
 
Back
Top Bottom