S Second hand Member Joined Jan 20, 2013 Posts 72 Reaction score 6 Aug 4, 2013 #1 Habari zenu wanajamvi! Kwa mwenye ujuzi naomba anijuze mchanganuo wa fedha ya mkopo kwa mwanafunzi wa chuo. Je, inahusisha na fedha ya kujikimu? NATANGULIZA SHUKRANI!
Habari zenu wanajamvi! Kwa mwenye ujuzi naomba anijuze mchanganuo wa fedha ya mkopo kwa mwanafunzi wa chuo. Je, inahusisha na fedha ya kujikimu? NATANGULIZA SHUKRANI!
L lazima ukae JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 791 Reaction score 414 Aug 4, 2013 #2 We nenda chuo kasome usiweke pesa mbele,ukishamaliza first year hayo yote utakua umeyajua.
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,248 Reaction score 3,663 Aug 4, 2013 #3 Mikopo kutoka loan board inajumuisha fedha ya kujikimu(meal and accommodation), ada, practical training na research
Mikopo kutoka loan board inajumuisha fedha ya kujikimu(meal and accommodation), ada, practical training na research