Mikopo ya dhamana ya kadi ya bank

Mikopo ya dhamana ya kadi ya bank

Kungi jr

New Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
1
Reaction score
1
Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
 
Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
kadi inakuwaje dhamana kwenye mkopo kwamba anayekudai anakuwa na access na akaunti yako? is that legal?
 
Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
Umeshindwa vipi kulipa na wakati kadi anayo mdai wako? Halafu kuna salary advance NMB na CRDB kwa watumishi wa umma! Kwa nini ukakope mkopo wa kuwekea dhamana ya ATM Card?

Ndugu watumishi wenzangu, ifikie wakati tujiongeze kwa kujianzishia shughuli mbalimbali za kiuchumi! Haya mambo ya kuishi kwa kutegemea huu mshahara kiduchu uliojaa madeni! Haukubaliki hata kidogo.
 
Haya mambo Walimu shinyanga wamepigwa huu mwaka. Wameweka bond kadi wanezirenew na wanawahi kutoa hela kabla ya wanaowadai. Hii ni dhulma tu
huwa inashangaza sana. walimu hujirahisisha sana
 
Back
Top Bottom