Mikopo ya elimu kwa wafanyakazi waliopo masomoni

Nkanaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
653
Reaction score
619
Nipo chuo kimojawapo cha binafsi hapa nchini nikichukua Bachelor of Education in Special needs(BEdSN) naingia mwaka wa pili. Tangu nimejiunga sijafanikiwa kupata mkopo kupitia Bodi ya mikopo kwa wanafunzi waliopo elimu ya juu HESLB. Tatizo hilo ni kwa nchi nzima. Nauliza kama kuna mwenye taarifa kuwa hivi karibuni nimesikia taarifa kua mifuko ya jamii kama PSPF na NSSF ipo mbioni kutoa mikopo hiyo. Kwa mwenye taarifa na ukweli juu ya jambo hili tafadhali naomba kujulishwa.JF kimbilio la taarifa zote siku zote heshima kwenu..
 
Binafsi sina hizo taarifa...ngoja niwapishe wengine.
 
Mbunge wetu, Salome Mwambu ni kilaza sana pia ni mbaguzi mkubwa.
 
Mkuu, mimi naenda kumng'oa huyo mama 2015 kupitia Chadema.
 
 

chuo fulani cha kibinafi Sekuco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…