Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Naomba kuuliza wadau,hivi hakuna taasisi nyingine za kutoa mikopo ya elimuya juu kwa vijana zaidi ya hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu?,kwa masharti yanayolingana na yale ya hii bodi ya mikopo?