Complicator JF-Expert Member Joined Aug 23, 2013 Posts 2,198 Reaction score 3,580 Jun 18, 2015 #1 Naomba kuuliza wadau,hivi hakuna taasisi nyingine za kutoa mikopo ya elimuya juu kwa vijana zaidi ya hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu?,kwa masharti yanayolingana na yale ya hii bodi ya mikopo?
Naomba kuuliza wadau,hivi hakuna taasisi nyingine za kutoa mikopo ya elimuya juu kwa vijana zaidi ya hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu?,kwa masharti yanayolingana na yale ya hii bodi ya mikopo?