Mikopo ya haraka inapatikana

Kama Gari yako ina thamani ya 50Mil. bora hata uliuze kwa 47Mil ukifanyia bishara unayotaka kwa makini bila presha wala riba ninauhakika kuwa in six to saven month utakua umnunua jingine na mpuga wako uko benki..........jamani tuweni makini huu ni wizi mtupu usiingie kwenye mdomo wa mamba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…