mikopo ya hazina ya magari.

komboko

Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
7
Reaction score
1
nimefurahi na kupata upeo fulani toka kwa wana JF Kuhusiana na hii mikopo.lakini upande wa mahakama inaishia hukohuko juu kwa juu.nivema serikali ingetoa hiyo mikopo kwa vote au idara na kila mkoa na wilaya.ili isiishie kwa wakubwa tu.wao wana magari tayari na masurufu kibao alafu wanatolea maccho tena.
 
hapa si mahalipake hamisha peleka mahali husika.huku nijtambulisbo tu.
 

Umesomeka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…