MIKOPO YA KAMILISHA

MIKOPO YA KAMILISHA

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Naomba niende Moja Kwa Moja kama kichwa Cha habar kinavyojieleza,Kuna MIKOPO hii ya kwenye mtandao,hasa unapotuma Hela pale unapo pungukiwa basi waanakuboost,ni jambo jema shida inakuja hasa pale unapotaka kukopa kwenye hio MIKOPO,ni MIKOPO ambayo inariba kubwa mno,,mfano unakop sh1000,inatakiwa urejeshe ndani ya masaa 24,na unareshe ts2000,ni kweli inatusaidia Kwa wakati huo lakin lazima waangalie kama wanania njema ya kusaidia,hiyoriba ipungue,na masharti yao,Hela ikiingia tu wanakata,yaan MIKOPO hauna muda wa kurejesha,umekoa Leo,MIKOPO ikiingia wanakata
 
Back
Top Bottom