mussa m roman
Member
- Jul 17, 2017
- 22
- 5
Kuna kitu kinaitwa vigezo na masharti, watu wengi tumekua hatusomi hivi vigezo na masharti na hata tukisoma Hatusomi Hadi mwisho kwa sababu Huwa wanaandika vitu vingi mno, hayo makampuni ukiangalia matangazo yao yanavutia mno utasikia unaweza kukopa laki 5 Hadi 1M ndani ya dakika mbili tu na wewe kwa kuvutiwa na tangazo una jaa bila kusoma na kuelewa vigezo na masharti unajiunga unakimbilia kukopa matokeo yake unakopa laki 5 unapewa 20k ukiuliza unaambiwa iyo nyingine ni ya garama za uendeshaji wa kampuni π€£ππ alafu kulipa unatakiwa ulipe laki 6 na nusu , na ndivyo vigezo na masharti Yao yanavyo sema , Pili ukiachana na hizo kampuni hizo ambazo zinakopesha kweli ila vigezo na masharti sio rafiki Kuna matapeli wanatumia mgongo huo huo wa kukopesha kutapeli watu utasikia ili kupata mkopo wako wa laki 5 tuma 40,000 tu kama dhamana yako , na wewe unaona 40k ni nini mbele ya laki 5 unatumua πππ ndo imeenda iyo, so kujua nani ni tapeli na nani sio tapeli wakati mwingine ni ngumu unaweza ku mention Mtu ni tapeli kumbe amasajiliwa na anatambulika kisheria , so ni wewe tu na kuchekecha akili yakoHabari wadau wa JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo . ???
Habari wadau wa JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo .
Nashauri Aachane nazo Kwa sababu tatu:Habari wadau wa JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo . ???