Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

Mikopo ya nje ni suala la Muungano?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?

Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?

Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
 
Kama Spika wa Bunge anatishwa live na Raisi wa nchi na inaonekana ni sawa bado unaita hiyo ni nchi? Uliona wapi Dunia hii Raisi anamshambulia Spika wa Bunge na kumfurumusha ? Hilo hutokea nchi zikipinduliwa ambapo Katiba husimamishwa.

Hatuna nchi hapo, it’s a coup!
 
Ni suala la Muungano na ndiyo maana katika Wizara ya Fedha kuna Idara inaitwa Tume ya Fedha ya Pamoja.

Pili ZNZ imekuwa inataka kuchukua mikopo yenye riba nafuu kutoka Nchi rafiki za Kiislamu ña mashirika ya Fedha ya Kiislamu kama OIC lakini imekuwa ikikataliwa.
 
Kama Spika wa Bunge anatishwa live na Raisi wa nchi na inaonekana ni sawa bado unaita hiyo ni nchi? Uliona wapi Dunia hii Raisi anamshambulia Spika wa Bunge na kumfurumusha ? Hilo hutokea nchi zikipinduliwa ambapo Katiba husimamishwa.

Hakuna nchi hapo, it’s a coup!
Inahitaji kujitoa akili kwanza kumtetea Ndugai kwa namna alivyo najisi Bunge letu.

Wazungu walisema " The end justifies the means"

Muacheni Job Ndugai ahangaike na UKIMWI wake
 
Ndio maana zanzibar vitu vinabaki nafuu maana pesa kwenye uchumi wao inaingia nyingi. Hivyo ata kodi ya bandari yao inakua chache.

Leo ccm wanasherekea miaka 45 ya huduma mbovu kwa jamii
 
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?

Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?

Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.

Haya mambo ya mikopo na mgawanyo kama yapo hivi hivi kwenye katiba basi tunahitaji marekebisho haraka sana, oherwise kama ni utashi tu wa mkopaji na mgawaji.
 
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?

Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?

Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
Zanzibar inalipiwa na bara, kwa ujinga huu Zanzibar itatunyonya sn
 
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?

Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?

Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
Zanzibar inalipiwa na bara, kwa ujinga huu Zanzibar itatunyonya sn
 
Inahitaji kujitoa akili kwanza kumtetea Ndugai kwa namna alivyo najisi Bunge letu.

Wazungu walisema " The end justifies the means"

Muacheni Job Ndugai ahangaike na UKIMWI wake
Ndugai anatofauti gani na tulia? Mbona mmempa tulia uspika?
 
Najuwa kuwa Tulia naye kapatikana kwa njia ya mchongo wa Magufuli lakini kamwe hawezi kufikia ubovu na udhalimu wa Ndugai.
 
Wewe ni mgeni Tz? Huyu tulia si ndio ilifikia kipindi wabunge wa upinzani walisusia vikao vyake vyote, hadi arudi ndugai?
Si ni huyu alikuwa akimjibu vibaya sana mbowe?
 
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?

Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?

Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
hii kitu ni ya muhimu kujadili. pia liunganishwe na watanganyika kumiliki ardhi zanzibar, kama tunataka kweli kuungana. ama la, utakuwa muungano wa kwenye makaratasi tu. wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi wapendavyo huku bara, ila wabara hawaruhusiwi kule tena kwa nguvu zote. tumeungana nini sasa hapo? pia, ukiangalia idadi ya watu, huku kuna millions, kule wapo wangapi? hata 2m hawafiki, mgawanyo wa mkopo unaendaje, na malipo pia. je tunapokuja kulipa tunalipa toka kwenye mapato ya wapi? ya bara tu tuwalipie wao au na wao wanachangia kulipa mkopo na wanachangiaje, tunatakiwa kujua. kati ya eneo la kutumia busara ni hili ili watanganyika wasiamke, kwasababu wakiamka wao ni wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom