Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ni suala la Muungano na ndiyo maana katika Wizara ya Fedha kuna Idara inaitwa Tume ya Fedha ya Pamoja.Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?
Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
Inahitaji kujitoa akili kwanza kumtetea Ndugai kwa namna alivyo najisi Bunge letu.Kama Spika wa Bunge anatishwa live na Raisi wa nchi na inaonekana ni sawa bado unaita hiyo ni nchi? Uliona wapi Dunia hii Raisi anamshambulia Spika wa Bunge na kumfurumusha ? Hilo hutokea nchi zikipinduliwa ambapo Katiba husimamishwa.
Hakuna nchi hapo, it’s a coup!
Inahitaji kujitoa akili kwanza kumtetea Ndugai kwa namna alivyo najisi Bunge letu.
Wazungu walisema " The end justifies the means"
Muacheni Job Ndugai ahangaike na UKIMWI wake
Ni wapi nimemtetea ”Ndugai” ?
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?
Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
Kama Spika wa Bunge anatishwa live na Raisi wa nchi na inaonekana ni sawa bado unaita hiyo ni nchi?
Kwa hiyo mlitaka Ndugai asijiuzulu USPIKA?Watu kama huyo anaesema unamtetea Ndugai ndio wanafanya hii nchi kuwa na safarindefu sana.
Zanzibar inalipiwa na bara, kwa ujinga huu Zanzibar itatunyonya snHivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?
Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
Zanzibar inalipiwa na bara, kwa ujinga huu Zanzibar itatunyonya snHivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?
Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka ile orodha ya mambo ya Muungano hapa.
Na hii sidhani hata kama wamewahi kukanusha.Zanzibar inalipiwa na bara, kwa ujinga huu Zanzibar itatunyonya sn
Ni ukweli tupuNa hii sidhani hata kama wamewahi kukanusha.
Ndugai anatofauti gani na tulia? Mbona mmempa tulia uspika?Inahitaji kujitoa akili kwanza kumtetea Ndugai kwa namna alivyo najisi Bunge letu.
Wazungu walisema " The end justifies the means"
Muacheni Job Ndugai ahangaike na UKIMWI wake
Najuwa kuwa Tulia naye kapatikana kwa njia ya mchongo wa Magufuli lakini kamwe hawezi kufikia ubovu na udhalimu wa Ndugai.Ndugai anatofauti gani na tulia? Mbona mmempa tulia uspika?
Wewe ni mgeni Tz? Huyu tulia si ndio ilifikia kipindi wabunge wa upinzani walisusia vikao vyake vyote, hadi arudi ndugai?Najuwa kuwa Tulia naye kapatikana kwa njia ya mchongo wa Magufuli lakini kamwe hawezi kufikia ubovu na udhalimu wa Ndugai.
hii kitu ni ya muhimu kujadili. pia liunganishwe na watanganyika kumiliki ardhi zanzibar, kama tunataka kweli kuungana. ama la, utakuwa muungano wa kwenye makaratasi tu. wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi wapendavyo huku bara, ila wabara hawaruhusiwi kule tena kwa nguvu zote. tumeungana nini sasa hapo? pia, ukiangalia idadi ya watu, huku kuna millions, kule wapo wangapi? hata 2m hawafiki, mgawanyo wa mkopo unaendaje, na malipo pia. je tunapokuja kulipa tunalipa toka kwenye mapato ya wapi? ya bara tu tuwalipie wao au na wao wanachangia kulipa mkopo na wanachangiaje, tunatakiwa kujua. kati ya eneo la kutumia busara ni hili ili watanganyika wasiamke, kwasababu wakiamka wao ni wengi zaidi.Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?