NEXTLEVEL JF-Expert Member Joined Jan 19, 2012 Posts 857 Reaction score 396 Jul 5, 2013 #1 Wadau napenda kujua NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS zipi maana nimeulizia nyingi wanasema hawajaunga na nao. Asanteni.
Wadau napenda kujua NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS zipi maana nimeulizia nyingi wanasema hawajaunga na nao. Asanteni.
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Jul 5, 2013 #2 kaka snaa hiyo achana nayo wanachotangaza na utekelezaji ni sdoma na peponi!