sinaham
Member
- Mar 31, 2024
- 76
- 90
Natumaini muwazima. Shida hazina adabu unajikuta unaingia online unaanika taarifa zako na unapewak kamkopo ka sh 20,000 interest kuuubwa.
Lakini naomba kuuliza kuhusu usalama na hali halisi ya hivi vitaasisi.
Naelewa ukikopa sh 10k ukakaa nayo ikazaa riba inaweza fika milioni.
Kasheshe ninwakianza kukusumbua.
Naomba ufafanuzi wa hili jambo wajuzi