Ukaishia kukenua!Bora hata we ambae wamekupa hao kenge nimewahi kuhangaika nao nikaweka hadi picha yangu full nikiwa nime smile na sikupewa
delete app lakini kukupigia labda usiwe unapokea namba mpyaa maana kazi unayoooo...Nifanyeje easiweze kuaccess conta zangu
Badirisha namba yako kwa muda. Contacts wako wa muimu waambie umeibiwa cmNifanyeje easiweze kuaccess conta zangu
Mkuu wameweka wanakipesha. Ila makubaliano ni ya kitapeli.
ππππUKICHELEWA TU UTASHTUKI ABABA MKWE WAKO ANAKUPIGIA SIMU NAKUKUULIZA MWANANGU IKUHIZI UMEKUWA TAPELI KWELIII??
Nenda settings, ingia privacy then app permission... Utaona pale apps ulizowapatia access then unaziondoa... Nafikiri umeelewa.Nifanyeje easiweze kuaccess conta zangu