Y Yanabadilika Member Joined Feb 25, 2014 Posts 34 Reaction score 15 Aug 10, 2016 #1 Habari wanajamvi,ivi ni bank gan au shirika gan naweza pata mkopo wa bajaji ukiachilia NMB hii huduma wamesitisha kwa sasa
Habari wanajamvi,ivi ni bank gan au shirika gan naweza pata mkopo wa bajaji ukiachilia NMB hii huduma wamesitisha kwa sasa
zinginary JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 2,483 Reaction score 1,705 Feb 24, 2018 #2 Watu hawakukujibu mkuu