Mikopo ya serikali

noony

Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
65
Reaction score
52
Habarini za asubuhi wana jf..naomba niende moja kwa moja kwenye mada jaman naomba kujua kwa yeyote mwenye uelewa kamili juu ya masharti na upatikanaji wa mikopo inayotolewa na halmashauri mbalimbali za serikali, kwa maana ya vigezo vya kupatiwa mkopo, kiasi cha chini na kile cha juu kabisa, kama ni kwa vikundi je ni kuanzia watu wangapi na je ni lazima mradi uwe umeshaanzishwa tayar pindi uombapo mkopo au hata kwa ule unaotaka kuanzishwa kwa pesa za mikopo, riba na muda wa kukamilisha marejesho.

Nadhani nimeeleweka, tafadhali yeyote anefahamu lolote kuhusu mada tajwa hapo juu nitashukuru kama utanipa ushirikiano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…