Naomba kufahamu Sheria zinazotumika kwa Taasisi ndogo za mikopo kama FINCA, Fanikiwa, SEDA, nk. Hizi taasisi zimekuwa zikishika vitu vya watu vya ndani bila hata ruhusa ya Mahakama.
Navyojua mimi Mahakama ndo yenye kurusu Mali au dhamani ya mkopaji kuuzwa, najua wanasheria mpo naomba ufafanuzi wa kisheria kwenye hili.